Mashoga ndani ya JWTZ


Good experience mkuu.....
 
We koma! Msikitini hakuna mashoga labda huko makanisani kwenu.

anataka kulinganisha haki na batwil, wao ndo wamehalalisha kabisa. Kwenye uislam hakuna nafasi ya huo uchafu.
 
Kila siku tuwaombee kwa Mungu watoto wetu ili kuwaepusha na laana ya kuliwa tigo.Hubu fikiria wewe mzazi mwanao amefukuzwa shule au kazi kwa ajili ya ushoga utawambiaje wazee wenzako.Kwani kwa haraka wanaweza kudhani mwanao ameridhi ushoga toka kwa Baba yake kwani ndio mawazo ya vijiweni
 
mbona unatetea dini yako kibwege..div 5 kazini bila shaka..kule zanziber na Tanga umekuzingatia kabla ya kubwabwaja?

We mpuuzi kweli, sasa hoja yako iko wapi? huko Tanga na Zanzibar hakuna makanisa pia? kwa maana hiyo hata ukristo unahusishwa na USHOGA, kwa sababu hayo maeneo uliyoyataja yana makanisa si ndio hoja yako? HOMOSEXUALITY IS STRICTLY FORBIDEN IN ISLAM.
 
Kuna jamaa mmoja pale kambi ya jeshi Lugalo miaka ya 2003 hadi 2005 alikuwa shoga wa wazi kabisa! Baba yake alikuwa na cheo kikubwa jeshini! Kwa heshima ya baba yake, waliamua kumpa councelling ya siri ili wambadilishe lakini ilishindikana kabisa. Jamaa akawa hadi anahudhuria taarabu kwa sana tu....hatimaye magazeti ya Shigongo yakamdaka! Jeshi hawakuwa na jinsi ikabidi wamfukuze tu. Shortly latter akafariki dunia.
 
du,mkubwa huu utafiti wako ulikuwa unasomea chuo gani? hii ni pesa kama ukipeleka kwa maprofesa ili wafanye utafiti
 
hahaaaaa
 
Kama taarifa hii ni kweli umeambiwa na huyo ndg yako ambae ni soja .... basi ushamponza mkuu ...

Hivi wafahamu mambo ya jeshi na nidhamu kwa ujumla wake .... scandal kama hii ni aibu so haitakiwi kuanikwa "juani" .... so mtoa taarifa aweza kuwajibishwa
 
Naambiwa huwa wanakaguliwa kijambio kwanza kwenye usaili.
Sio kijambio tu mkuu na na tatoo na chale na mguu kama hauna mvungu na makovu ya mshono kama vitu hivyo unavyo basi hapo usahili ni kwa heri unarudishwa kwenu!!
 
Mkuu ungemchunguza vizuri labda yeye ndo muusika
 
Mkuu hiyo kazi ingenishinda kwa sababu kidume halisi hata kuguswa kalio tu unakuwa mkali kama simba halafu ndiyo nibung'oe anitie kalamu kwenye 0713 thubutu.
 
Najua ni mda sana but hapo ingekua sahihj kama ungesema shortly after.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…