Mashoga ndani ya JWTZ

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
26
Habari Ndugu zangu,

Nina Ndugu yangu ambaye amemaliza hatua ya awali jeshini sasa hivi Yuko on Service Mbweni,ameniadithia mambo Mengi Sanaa,lakini lililonishangaza zaidi ni kuna idadi kubwa Sanaa ya Mashoga ndani ya JWTZ.
Naomba kuthibitishiwa jambo hili Kama kuna ukweli coz bado sijaamini kabisa
 
Wanakuwepo ila habari zikiwafikia wanaohusika na nidhamu jeshini wanawawekea mitego na wakiwafumania wanafukuzwa jeshi.
 

kwa jeshi la marekani ni ruksa,tena wazi wazi kabisa
 

tatizo ni kuwa jeshini au vp manake kila mahali ushoga upo hata makanisani misikitini cha ajabu nn jeshini tigo tam banana
 

sasa wewe jamaa unataka sisi tuthibitishe kwani sisi ni wajeda? eboo.
Tafuta lijeda likupe full detail halafu uje utue hapa
 
Mtu yeyoote ambae anatoa 0713 akiinamishwa huoni zile nywele zinazozunguka kijambio na hio tu haitoshi lakini kijambio kikiguswa na kalamu ya mtaalamu ile spidi yake ya kufunga na kufungua tu ina mwambia mtaalamu kuwa unatoa 0713 ama hutoi....ni ngumu sana kuwa shoga kabla !
 

teh teh teh spid ya kufanga na kufungua!! noma sana
 
naniii njooo huku coz wakiweka picha yako hapa patachimbika
 
Tukuthibitishie?sie hatupo jeshini best!ngoja niwaite!!nyie wanajeshi mkuje huku mthibitishe!
 

yeye aliyekuambia ndo akuthibitishie sasa, au nenda hiyo kambi alokuambia mashoga wanapatikana ukathibitishe mwenyewe!
 
...ni kweli miaka ya zamani kulikuwa na mashoga kadhaa katika brigade ya 101 zanzibar, na ilifikia askari wanaotaka vyeo vya awali kibwete kutoa hio kitu kama rushwa kwa wakuu wao wa kambi.na wengi asili yao ilikuwa ni hukohuko.but now things have changed ukidhaniwa tu unajihusisha na huo mchezo unawekewa mtego na ukinasa tu unafukuzwa haraka sana...
 

Wewe ni Sgt,utakuwa unajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…