Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 13,999
K iwanja/shamba linauzwa Njombe,ni KM 7 toka Njombe mjini,jirani na Wende sekondari eneo linaitwa Ngalanga,shamba/eneo lina ukubwa wa ekari 9,BEI MILIONI 2 kwa Ekari.Eneo linafaa kwa kupanda miti ya MBAO,au kufuga au kujenga nyumba ya makazi.
Eneo la Yakobi kuna EKARI 10 ZINAUZWA, ni KM 20 toka Njombe mjini,BEI ni LAKI SITA kwa EKARI,eneo linafaa kwa kupanda miti ya MBAO au kujenga nyumba ya makazi au kufuga.
Mwasiliano: 0763504487 au ni PM.
NB:Si lazima ukanunua eneo lote,unaweza kununua hata sehemu ya eneo kulingana na mahitaji yako,na pia kama unahitaji kiwanja cha kujenga nyumba NJOMBE mjini,vinapatikana pia.