Kufuatia agizo la Donald Trump kusitisha misaada kwa shirika la USDA, naomba kufahamu yafuatayo:-
1. Je, Kuna shirika ambalo limeshafanya handover?
2. Mali za mashirika zitapigwa mnada au utaratibu wa handover kwa nchi husika ukoje?

Mkuu,,labda kama mimi sijaelewa ila ninachofahamu, Trump hajasitisha misaada ila amesimamisha shughuli kwa siku 90, hata hivyo kwa miradi ya afya baadhi ya shughuli zimeanza kuruhusiwa kuanzia jumatatu,