Mashirika ya umma wana kusudia nini?

dundula

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
539
138
Polen na majukum wadau,hv kwa nn mashirika ya umma na sekta nyingine za serikali hawaweki majina ya walioitwa kwenye interview magazetini?au ni garama kubwa sana? mfano TRA juzi walipiga sm na bado wakatuma barua posta kwa wahusika kwa nn washindwe kutangaza majina hayo magazetin au kuna kitu wanaficha?Wana jf naomba mnijuze
 
Back
Top Bottom