Mashirika ya ujenzi wa nyumba Dar es Salaam

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
57
Msaada waungwana wana JF natafuta mashirika ya ujenzi wa nyumba Dar. nakusudia mashirika ambayo mnapatana na yenyeewe yanakujengea nyumba na kukukabidhi kwa mujibu wa ramani yako. Mwenye kufahamu naomba anifahamishe na hata makisio ya gharama zake kwa nyumba ya vyumba vinne, (master 2), jiko, dining na kadhalika kwa mfano gharama zake zikoje na kuna mashirika ya aina hiyo hapo Bongo?
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,470
270
Niliona mtu mmoja anatumia teknolojia ya interlocking bricks... nilimwona kwenye maonesho ya siku ya Makazi ya wizara ya Ardhi..!!
anafanya kazi njema kwa gharama nafuu na anweza kufanyakazi popote kwani mashine kazibuni yeye na hakimiliki ni yake..!!
utahitaji?
 
newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
538
Niliona mtu mmoja anatumia teknolojia ya interlocking bricks... nilimwona kwenye maonesho ya siku ya Makazi ya wizara ya Ardhi..!!
anafanya kazi njema kwa gharama nafuu na anweza kufanyakazi popote kwani mashine kazibuni yeye na hakimiliki ni yake..!!
utahitaji?
hii maneno ya interlocking ni hatari sana,siku mtu akiudhika anakuja ku-unlock matofali yako yote,nyumba inahamishwa ndani ya siku mbili,au wezi wa fatuma hawatakuwa na kazi sana,mtu anakuja anachomoa mawili matatu then hawahitaji kupitia mlangoni.
(i am just a LayMan ,just thinking out loud)
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
hii maneno ya interlocking ni hatari sana,siku mtu akiudhika anakuja ku-unlock matofali yako yote,nyumba inahamishwa ndani ya siku mbili,au wezi wa fatuma hawatakuwa na kazi sana,mtu anakuja anachomoa mawili matatu then hawahitaji kupitia mlangoni.
(i am just a LayMan ,just thinking out loud)
Mkuu hizi interlocking zipo za aina nyingi kuna zile ambazo ukifika usawa wa badi zinakuwa locked kwahiyo huwezi kutoa katikati sababu zinakuwa zimebanwa...; kuna zile ambazo zina matundu kutikati yaani ukashapanga hati juu unanyunyizia mchuzi wa cement kwahiyo zinakuwa locked na zimeshikana na imara tu kama block ya kawaida (kama ni wezi labda ukae kwenye handaki popote wakitaka kuja watakuja tu)
 
Nemo

JF-Expert Member
Feb 22, 2011
751
1,308
Mdau wetu
Try "nyumba poa". You can find out more about them thru' www.nyumbapoa.com

Ps. If u dont mind, naomba uje unipe feedback, if you get to talk to them
 
ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
3,366
3,057
Nenda NATIONAL HOUSING CORPORATION,wapo mandela road opp National Stadium au google website yao.utapata kila kitu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom