Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,145
- 1,344
- Thread starter
- #21
Caps 50
Ya blocks unayo mkuu ?Kuna mtu aliwahi kuniambia kuhusu hili.
Nitafatilia Mkuu, huenda nikaanza kushika milioni yangu ya kwanza katika Uzee huu 😜
Ni kweli ni muhimu kuwa navyo hivyo vituUsifanye biashara ya tofali kama huna gari ya mchanga au ya kusafilisha tofali kwenda kwa mteja
Ukijipanga utanitafuta nikutafutuie vijana wa kazi mkuu.Hii ndiyo miradi yetu wastaafu
Unauza tofali zako elfu 1, unapata hela ya kula sio Chini ya laki 2
Hadi pension itoke, unakuwa haujafa na njaa
Hutu ni kwa mfumo wa umeme au manual tu ya kawaida kupiga na mikono ?Vibrated block machine tofali mbili 2.8MView attachment 3347447
Mkuu nimechnganya picha hiyo bei ni kwa machine ya umemeHutu ni kwa mfumo wa umeme au manual tu ya kawaida kupiga na mikono ?
Nitashukuru sana MkuuUkijipanga utanitafuta nikutafutuie vijana wa kazi mkuu.
Hapana Sina MkuuYa blocks unayo mkuu ?
Kazi nzuri mkuu location wapi ?Manual machine (Bam bam) 700kView attachment 3348444View attachment 3348443
Kazi nzuri mkuu
Mwenge opposite na suma jktKazi nzuri mkuu location wapi ?
Sawa sawa mkuuMwenge opposite na suma jkt