Mashine za mbao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine za mbao

Discussion in 'Matangazo madogo' started by BUSARA6, Feb 26, 2011.

 1. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ninauza used industrial machines za kukatia mbao yaani saw, morticer, spindle moulder na planer thicknesser (landa) kutoka UK.
   
 2. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35


  Bei, picha zake???
   
 3. A

  Ahungu Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukowa wapi na bei gani. Ikiwezekana picha zake.:A S 13:
   
 4. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hizi hapa zipo zanzibar. Sema ipi unayohitaji maana zipo nyingi na bei ni tofauti


  saw 2.jpg morticer.JPG landa.JPG saw 3.jpg
   
 5. J

  JosseySteve New Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :rain:Kwa ununuzi wetu wa-TZ, bei ingebandikwa kwa kila moja, biashara ingependeza.
   
 6. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  b ei inaanznizi ngapi mpaka ngapi kawa dar unazo??
   
 7. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Misumeno na morticer kuanzia mil 3
   
 8. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Lamba, naona hujakaa kiuuzaji, ukisema misumeno na morticer kuanzia mil. 3 hueleweki.
  Ushauri: weka orodha ya bidhaa na picha zake, uwezo wake wa kufanya kazi na bei yake, ili mnunuzi aone uwazi wa biashara na uwezekano wa kufanya bargaining; vinginevyo hatupotezi muda kuhamia kwa wauzaji walio wazi zaidi.
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Uswahili na kuficha ficha, mhhhhh..........

  Enzi za uwazi hizi. Mbona wengine wanaweka bei zao kwenye EBAY, ALIBABA nk?

  Wekeni picha, uwezo na bei na unaweza kuandika kama nyongeza, maelewano yapo. Hii inakuwa kwa wale tuseme wanachukua zaidi ya mbili, basi unampunguzia bei kidogo....... Sasa hii ya kuficha kila kitu hadi uulizwe, inaleta sana utata.....

  Wewe piga mahesabu yako kama MCHINA na ukiandika bei basi iwe ni almost bei yako hasa unayotaka kuuza na kupata faida bila kupata HASARA. Mtu akiomba kupunguziwa bei na Mchina, huwa ni kasheshe maana huwa wanaweka bei almost ya wanayotaka kuuza na kifaida kidogo.

  Unauza haraka na mzigo ukiisha, basi unarudi tena UK na kuchukua mwingine na si kukaa nao miaka kibao ili muradi uuze kwa faida kubwa sana...... JUST USHAURI. Kila la kheri. Ntawasiliana na kaka yangu ambaye ana mashine kama hizo kama kwa sasa anahitaji. Weka kila kitu wazi ili nikimpigia basi nampa kila kitu..............
   
 10. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu nimesema zipo nyingi na nimejaribu kufafanua mashine ambazo ninazo. Kuna member waliniomba kutaka kuona picha na bei inayoanzia, nimeweka. Sasa hapo mkuu sipo muwazi kivipi? Samahani kama nimekukwaza.
   
 11. A

  ALOYCE MBWELWA Member

  #11
  Jun 30, 2015
  Joined: Aug 4, 2014
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nicheku watsap 0752430195
   
Loading...