Mashine za kuunganisha WiFi kama Routers

Mashine za kuunganisha WiFi kama Routers

Hiyo GSM signal booster mm nimeshaifunga kijijini kwetu na ina range(frequency bundle) 3 za signal na ni kweli indicator zinaonyesha kujaa zote, BADO simu angalau unapata network sio viile,,
Lengo langu ilikuwa kupata pics za whatsapp BADO SHIDA IKO PALE PALE mbali na gharama ya kuinunua na kuifunga zaidi sh 500,000

Tuendelee kujadili kutafuta ufumbuzi, baadhi ya watu wameshauri kutumia Radio call + converter between hapo kijijini na minara enye strong network
 
Back
Top Bottom