Mashine za kusaga na kukoboa(POSHO MILL)

Mama Naa

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
802
Reaction score
1,769
Habari watanzania wenzangu..

Naomba msaada machimbo ya mashine za kusaga na kukoboa Kwa wakazi wa Dar es salaam.

Naomba ziwe zile zinazoweza kutumia Diesel na Umeme maana ninakotaka kuwekeza bado hakuna Umeme.

Natanguliza shukrani zangu za dhati...

Asante.
 
Nenda SIDO zimejaa tele

Back
Top Bottom