Wadau kwa mwenye kujua mashine/printers zinazoprint pvc cards/plastic cards kama vile ATM CARDS, VITAMBULISHO AU BUSINESSCARDS, kwa maana ya zinakowezapatikana nchini Tanzania na pia bei zake zikoje? Anisaidie tafadhali.
ATM card?.....unaplan kuanza wizi mkuu?!!...(JOKING:wink2🙂
Mini nipo Dar je nawezazipata wapi ? Niliwahi kwenda BMTL pale posta walinambia hawana na nikajaribu kuzunguka maduka ya Mkunguni, KKOO na hapo Mlimani city nikakosa.Si za ajabu mkuu. Ni epson printers, unaprint idz, cd n.k
Mini nipo Dar je nawezazipata wapi ? Niliwahi kwenda BMTL pale posta walinambia hawana na nikajaribu kuzunguka maduka ya Mkunguni, KKOO na hapo Mlimani city nikakosa.
Mkuu mtafute MIUNDOMBINU amezungumzia sana hizo EPSON Printers humu na anajua wapi zinauzwaaliezitaja akitusaidia wap zinapatikana itakuwa njema sana,nikiwahi leta nami uzi wa kuhusu hizo mashine zapatikana wapi lakin sikupata msaada vile leo yupo ambae ana idea na hzo mashine atusaidie
Mini nipo Dar je nawezazipata wapi ? Niliwahi kwenda BMTL pale posta walinambia hawana na nikajaribu kuzunguka maduka ya Mkunguni, KKOO na hapo Mlimani city nikakosa.
Asanteni wadau wote mliochangia hata hivyo ninaomba kwa atakayekuwa na new infos aziweke tusaidiane na nitawapm baadhi ya wadau hata hivyo nikipata jipya pia nitaliweka open ili wengine pia wafaidi
Asante kwa ushauriKama lengo ni kupring ID za staff wake tu, ana staff wangapi? kwa sababu ujuzi, gharama za kununua kuenda zikawa kubwa kulinganisha na kupeleka kufanyiwa hiyo kazi na watu wenye uzoefu wa hiyo kazi na hasa kama ubora ni kigezo muhimu kwake.
Kama anaihitaji kwa matumizi yake na aitumie kibiashara, ni wazo zuri akinunu hiyo mashine ila afanye utafiti wa kutosha wa mambo ya muhimu kama aina ya material atakayoprintia, wino unaotumika, features za hizo ID (Security), wepesi wa kutumia software ya ku design IDs n.k.
mkuu nilishawahi kuagiza si chini ya 4m mkuu so kama unazitaka check na kampuni za s.Africa. wako fresh.
Wacha bei za ajabu mkuu;
Kwa kawaida mashine ikiwa na bei kubwa ujue inaweza kutumiwa na unskilled person; lakini hizi ambazo mi naziongelea ni bei nzuri kuanzia 700,000/= hadi 1.5m; uendeshaji wake - namaanisha wino ni kama Tshs. 10,000/= kwa mills 100; Tatizo litakuja kwenye ujuzi wa kuitumia; lazima ujue graphics software na uwe kweli makini kwenye kazi hizo ndo utaweza kufanya kazi yenye uhakika.