Expedito Mduda
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 380
- 225
Sisi ni wataalamu wa kutengeneza mashine za kuangulia vifaranga vya kuku na ndege wengine. Mashine zetu zimeonesha uwezo mkubwa sana wa uanguaji. Tafadhali usihangaike kutafuta mashine hizo nje ya nchi wewe njoo tu uone ufanisi wa mashine hizi ndipo uamue kununua. Usidanganyike na usikubali kutoa fedha yako kabla hujahakiishiwa ufanisi wa mashine zetu. Pia tunatengeneza mashine za kuchanganya chakula cha mifugo. Karibu kwenye shamba darasa letu. 0753903809