Mashine za BVR zamkataa Anna Tibaijuka

Mashine za BVR zamkataa Anna Tibaijuka

Duh huyu mama anatakiwa kutochaguliwa tena
 
Kama habari hizi ni za kweli basi hizo ni laana za kejeli kwa Watanzania ambao wanaishi chini ya dola moja ilihali yeye anajinasibu kutumia Milioni kumi kama hela ya mboga,sasa nauliza ya ugali itakuwa kiasi gani?
 
Acheni majungu hata rais Jonathan wa Nigeria zilimkataa siku ya kupiga kura.. H
izi machine za kichina
 
Licha ya kuwa anakula mboga ya milioni kumi ila hanenepi hana nyama hadi kwenye vidole

Hizo ni salaam tu,kwani kimbunga kinakuja october atakavyo ambulia kura namba za viatu
 
kwanini tununue mashine za kutenda haki demokrasia kutoka nchi isiyo yakidemokrasia?
 
Mods tuondoleeni huu uzushi. Na report kwa Mods kuhusu uzushi huu.Eti alijaribu kwenye vituo mbalimbali. JF imekuwa kichaka cha kila mjinga kuleta uzushi wake. MODS lindeni heshima ya JF. Kigezo isiwe kujua ku type na kufungua account JF.
 
Back
Top Bottom