Mashine ya Tofali na Block!

G12

Senior Member
Aug 31, 2012
156
51
Wadau tunauza mashine ya block na tofali.
Tazama picha kwa maelezo zaidi.
Pia tunatoa ushauri, after sale service na spare parts kwa mteja atakayenunua kwetu pindi anapohitaji.

1. Semi-automatic
JF-QT1500C-Semi-Auto.jpg
More info

2. Full-automatic

Bonyeza hapa

Tembelea webiste yetu kwa maelezo zaidi.

G12 International Co. Ltd.
 
Nyinyi mnauza au mnasaidia kuagiza? Tafadhali toa ufafanuzi.

Mkuu sisi tunauza, hatusaidii kununua.
Tunakaribisha mteja afike hapa kwetu na hata kiwandani akipenda.
Mwezi ujao (ANGALIA HAPA ) kutakuwa na maonesho ya biashara hapa mjini, tunawakarbisheni sana.
Invitation letter tunatoa pia.

www.g12.hk
 
Asante kwa ufafanuzi. Sasa kwa wateja ambao wako based Tanzania mnawasaidia vipi? Je mna branch Tanzania?
 
Asante kwa ufafanuzi. Sasa kwa wateja ambao wako based Tanzania mnawasaidia vipi? Je mna branch Tanzania?

Kuna wadau wapo Tz tunsharikiana nao. Ofisi zao zipo Kijitonyama. Ukiwa tayari, wawezakufika pale ukaona details zetu kwenye catalogue ya hii mashine na nyinginezo.
 
Kuna wadau wapo Tz tunsharikiana nao. Ofisi zao zipo Kijitonyama. Ukiwa tayari, wawezakufika pale ukaona details zetu kwenye catalogue ya hii mashine na nyinginezo

Be blessed. Naomba tukutane PM tuweke mambo sawa. Natamani nichukue moja faster. Asante sana
 
Kuna wadau wapo Tz tunsharikiana nao. Ofisi zao zipo Kijitonyama. Ukiwa tayari, wawezakufika pale ukaona details zetu kwenye catalogue ya hii mashine na nyinginezo

Nashukru mkuu
 
Back
Top Bottom