mashine ya sabuni ya mche inauzwa

mashine ya sabuni ya mche inauzwa

lajuj

Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
6
Reaction score
0
nauza mashine ya kukamua sabuni ya mche inatumia engine ya diesel 20hp.
Ukiwa na mashine hi utaweza zalisha aina yoyote ya sabuni ,wasiliana na mi.
 
Katoni ngapi kwa siku, bei gani, wewe imekushinda nini, ipo wapi? Maswali ni mengi ewe mjasiriamali!!!
 
Katoni ngapi kwa siku, bei gani, wewe imekushinda nini, ipo wapi? Maswali ni mengi ewe mjasiriamali!!!

ndugu yangu nilishindwa kuiendesha mashine kumbe inahitaji mtaji mkubwa kwajili ya raw material kama mafuta, dawa na maboxi lkn mshine ina uwezo wakuzalisha box 150-250 kwa siku kulingana na material utakayokuwanayo ila mashine ipo kwa musuguli mbezi.
 
hebu chek profile yangu utaweza kuiona mashine plz
 
Mie nimependa hobby yako ya ku-fabricate machines. Did you fabricate this one yourself? Unatengeneza zipi zingine? Hongera bwana.
 
member.php
avatar133351_1.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom