INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

Sunday17

Member
Joined
Feb 21, 2024
Posts
19
Reaction score
5
Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa
Bei yake: 1.6 M.
📞📞 & Whasap 0757687358
IMG_20240221_115006.jpg

Whasap & call 0757687358
Specification zake
1.size 48*38*78
2 voltage 220/50hz
3. Three crushing rollers
(Stainless)
4. Ipo na 3HP electric motors.
Material yake yote n stainless steel.
5. Uwezo 300kg kwa saa.
IMG_20240221_114007.jpg
IMG_20240221_120801.jpg
 

Attachments

  • IMG_20240221_161554.jpg
    IMG_20240221_161554.jpg
    2.7 MB · Views: 52
✓Ipo Mbeya popote itatumwa
✓3HP electric motor Double phase
✓ 300KG kwa saa
✓ new model YF L80
✓n mpya 0757687358
IMG_20240221_161118.jpg


IMG_20240221_115130.jpg
 
Juice yake itakuwa tamu kweli? Tangawizi, ndimu na passion unawekaje hapo?
 
Hapo kwenye double phase maana yake hawezi tumia umeme wa majumbani
 
Kwa kweli motor Ni kubwa.ila kwa voltage ya 240/50hz mashine inafanya kazi swafiii kabisa. Ambao tunatumia site Ni umeme wa vibandani.
 
📞0757687358
Only serious buyer
Nipe 1.4M na mongez yapo
3HP electric motor
Umeme wa majumban
Kilo 300 kwa saa

IMG_20240221_115006.jpg
 
Hivi mbeya wanakunywa juice za miwa siku hizi? Dah kipindi nakua mwakaleli nakaa kwenye shina la miwa nachakaza miwa mitatu mizima kwa meno😀
 
Back
Top Bottom