Hodi hodi wapendwa,
Kuna ndugu yangu anatafuta mashine ya kutengeneza ice block, sasa amenipigia hata sina abc za hiyo kitu, in short nimeshindwa kumjibu.
Sasa najua JF limesheni wajuzi wa mambo, anayejua wapi naweza kupata hiyo mashine atusaidie taarifa muhimu nimjibu huyu ndugu yangu, anatoka mkoani na yeye siyo mtu wa mitandaoni sana.
Natanguliza shukrani