T The tireless Hunter New Member Joined Oct 21, 2016 Posts 3 Reaction score 0 Feb 28, 2019 #1 Nahitaji mashine ya kutengeneza chaki yenye matundu 400 kama ipo weka mawasilano hapa. mashine aina hii Attachments mashine2.jpg 6 KB · Views: 74
Nahitaji mashine ya kutengeneza chaki yenye matundu 400 kama ipo weka mawasilano hapa. mashine aina hii
K KIJANI Senior Member Joined Dec 13, 2010 Posts 138 Reaction score 26 May 2, 2019 #2 NAUZA MACHINE YA KUTENGENEZA CHAKI PAMOJA NA CHAKI DRYER KUBWA DESCRIPTIONS: Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds); Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically; Ina OVEN KUBWA ya Kukausha CHAKI baada ya kutoa kwenye Block/Moulds Eneo ziliposimikwa Mashine limekodishwa hivyo unaweza kuendelea kulipia kodi ama kuhamisha mashine zako; KWA MAELEZO ZAIDI, CONTACT: 0767 235923.
NAUZA MACHINE YA KUTENGENEZA CHAKI PAMOJA NA CHAKI DRYER KUBWA DESCRIPTIONS: Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds); Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically; Ina OVEN KUBWA ya Kukausha CHAKI baada ya kutoa kwenye Block/Moulds Eneo ziliposimikwa Mashine limekodishwa hivyo unaweza kuendelea kulipia kodi ama kuhamisha mashine zako; KWA MAELEZO ZAIDI, CONTACT: 0767 235923.