Mfarisayomtata JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 474 Reaction score 188 Jul 25, 2014 #1 wadau nina hitaji la mashine ya kusaga mahindi inayotumia dizeli, je naweza kuipata kwa gharama gani?? Ikiwezekana mtu anidadavulie na specification zake maana najua lazima zitakuwepo za aina tofauti tofauti. Nitashukuru nikipata majibu mazuri.
wadau nina hitaji la mashine ya kusaga mahindi inayotumia dizeli, je naweza kuipata kwa gharama gani?? Ikiwezekana mtu anidadavulie na specification zake maana najua lazima zitakuwepo za aina tofauti tofauti. Nitashukuru nikipata majibu mazuri.