Mkuu yani mashine ya mls 3.5 isage gunia moja kwa dakika 60 zote1.8 mpaka 3.5 millioni. Hizo ni za wastani.... KG 1 mpama Kg 100 kwa saa
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo litakuwa kolokolo mkuu. injini ya kichina mfano yd hp 16-20 pistoni 1 inatafuna kg 20 kwa dakika 7= 35min/40 kwa kg 100. la na mikoani kwetu (mwanza/kahama/katoro) injini haizidi 800,000+kinu 350,000. vinginevyo utangaze kuwa: HUJUI MASUALA YA USAGISHAJI au WEWE NI DALALI ASOGEE UMPIGE!1.8 mpaka 3.5 millioni. Hizo ni za wastani.... KG 1 mpama Kg 100 kwa saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei kubwa sana kiongoziNipigie mashine zipo million 2 na busy na tatu piga
0653090685 natuma pic ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa Sana maelezo yako brother.hilo litakuwa kolokolo mkuu. injini ya kichina mfano yd hp 16-20 pistoni 1 inatafuna kg 20 kwa dakika 7= 35min/40 kwa kg 100. la na mikoani kwetu (mwanza/kahama/katoro) injini haizidi 800,000+kinu 350,000. vinginevyo utangaze kuwa: HUJUI MASUALA YA USAGISHAJI au WEWE NI DALALI ASOGEE UMPIGE!