Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( Heavy duty heat press machin)

Umeshindwa kuitoa kwenye box na kuipiga picha vizuri yenye muonekano wa umbo lake kamili, yaani hajulikani kama ni viepson vidogo lakini hata bei haipo

Bei haipo kweli ? Na picha hazitoshi kweli, ngoja nikuongezee picha za nje ya box.. maana wengine wote hawajalamikia bei haipo wala picha hazitoshi.. ni wewe peke yako

Screenshot_20210509-131940_Instagram.jpg

Screenshot_20210509-131915_Instagram.jpg
 
mkuu tangazo ni la mda mrefu sana. Mashine ni hiyo hiyo moja au maana km vile hujaiuza.
back to the topic, hapo mabibo hostel una Office? ukinipa na hiyo Office nanunua machine iyo ili "kazi iendelee". Asante.
[/QUOTE]

Upewe ofisi nzima ya muuza mashine iwe yako...duh, kwa hiyo ukienda scania kununua gari.. unapewa na ofisi ya scania? Ama ukienda dukani kununua bidhaa huwa unapewa na ofisi ya muuza duka

Mashine huwa zinakujaga kwa ajili ya wanaokuja kujifunza , wengi wanataka kuagiziwa vitendea kazi after mafunzo... na sio mara zote wanafunz wanakuwepo..
 
Paragraph number 2 ndio jibu ulitakiwa kunijubu. Otherwise paragraph number moja umeniimbia taarabu tu.
 
Bei haipo kweli ? Na picha hazitoshi kweli, ngoja nikuongezee picha za nje ya box.. maana wengine wote hawajalamikia bei haipo wala picha hazitoshi.. ni wewe peke yako

View attachment 1778593

View attachment 1778594
Mkuu asante nimeiona vizuri, naomba nikuulize kitu,
mimi ni mtumiaji wa Hits printing, Epson zote na Noritsu Qs3011, Je hiyo machine uloweka inaweza chukua nda gani kujifunza mpaka kuielewa,
Nilihitaji kama nikifanikiwa kupata vihera basi kabla ya mwaka kuisha huduma hii niwasogezee wakazi wa Kigoma,
ingawa bei zako zimekaza kidogo maybe inatokana na ubora wa bidhaa
 
Back
Top Bottom