Mashine ya kuoshea vyombo inauzwa

Status
Not open for further replies.

Rich Forever

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
467
469
Mashine ipo kwenye hali nzuri sana bei ni laki tatu tu

Kwa mawasiliano

0719590756

IMG_0228.JPG
IMG_0229.JPG
IMG_0231.JPG
IMG_0232.JPG
 
Tena atakwambia ndugu zako hawampendi,kesho muondoke,anapigwa majungu.
Huu sio utamaduni wetu bana, mtu Wali tu mpaka upikiwe na mashine, vyombo uoshewe na mashine, nguo ufuliwe na mashine, ukimchukua wife aliezoea hizi mashine ukampeleka kijijini kwa wazazi wako kwenye kupikia kuni anabaki anashangaa shangaa tu.
 
Asa si kila mtu anakuwa na level yake mkuu
 
Ukinunua jipange maji na umeme
Maana zinaosha kwa dakika 15 hadi 60

Sasa kama huna hela hiyo ya nini? Kila kitu na level yake mwingine anatumia ist mwingine vogue ivo yani sijaona point yako mkuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom