Mashine ya kumenya na kukausha muhogo

Kampuni

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Habari wanajamvi?
Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please. Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
 
Hili si jukwaa sahihi. Jaribu kwenda SIDO mkuu.
Is that a good business? how does it works?
share nasi hiyo biashara mkuu
 
N
Habari wanajamvi?
Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please. Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
Naenda 8 / 8 leo kuna jamaa wametokea Sengerema nitakupa jibu kesho!
 
Habari wanajamvi?
Kwa wale wanaofahamu makampuni au wajasiriamali wanaotengeneza mashine za kumenya na kukausha mhogo (cassava peeling/drier machine) anielekeze ama anipe contact zao please. Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
dry machine ya cassava ninawafahamu wanao tengeneza,ili peeling cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…