Mashine ya kukamulia mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine ya kukamulia mafuta

Discussion in 'Matangazo madogo' started by african2010, Jun 15, 2010.

 1. a

  african2010 Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Anzisha biashara ya kukamua mafuta kwa kutumia mashine isiyotumia umeme hata kidogo. Mashine inap9atikana kwa bei ya tshs 320,000 tu piga simu 0783555439 au 0717498932
   
 2. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  1. Mkuu hiyo mashine ni ya kukamua mafuta ya mbegu gani ?
  2. Inatumia nishati gani ?
  3. Inauwezo wa kukamua lita ngapi kwa saa ama dakika ?
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  wewe kuwa makini ktk biashara, mashine aina gani, ina uwezo gani, fafanua tafadhali. Isije kuwa mashine ya kukzungusha kwa mikoni yenye uwezo wa kukamua lita mbili za mafuta kwa saa halafu unasema mtu aanzishe biashara!!!!!
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kweli tutaanzisha biashara kwa kutumia machine uliyoipendekeza. Ila ni vyema ukatoa specs zake kama make, uwezo, inatumia nishati gani nk. Sifa pekee kubwa uliyoipa ni kwamba haitumii umeme lakini inaweza kuwa inatumia msuli kupita kiasi hii ikaleta shida na ikaonekana bora ingekuwa inatumia umeme.
   
 5. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Alafu pia 2% ya mauzo ulete JF kama shukrani ya kukutangaza.
   
Loading...