mzalendo-wa-tz
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 404
- 187
Natafuta mashine ya kukamulia juisi ya miwa. Iwe kubwa (for big commercial project) yenye rollers kuanzia 4 au 5 na kuendelea. Kama unamfahamu mtu anayeuza au zinakopatikana msaada tafadhali. Nicheki kupitia emmanuelmgimwa@gmail.com au 0713769013