jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,770
- 1,605
kununua mkuuUnataka ya kununua au unataka ya kukodi?
asante mkuuNenda ddca hapo ubungo njia panda ya chuo utapata maelekezo na ushauri
Ni zaidi ya milioni mia. Kuna ajenti wao hapo Dar anakuagizia unalipia kwakekununua mkuu
Nakushauri utafute mfanyakazi wa hizo kampuni ambaye anaufahamu mzuri kuhusu hizo mashine mkae chini muelekezane kila kitu.Wadau natumai ni wazima,
Naomba msaada wa namna ambavyo naweza kupata mashine ya kuchimbia visima virefu hadi 200Metre,bei yake, na matumizi ya mafuta (petrol/diesel), pamoja na specifications nyingine.
asanteni.
mkuu nafuatilia nitarudisha mrejesho.Ni zaidi ya milioni mia. Kuna ajenti wao hapo Dar anakuagizia unalipia kwake
Asante sana mkuu, nafuatilia nitarudisha mrejesho humuNakushauri utafute mfanyakazi wa hizo kampuni ambaye anaufahamu mzuri kuhusu hizo mashine mkae chini muelekezane kila kitu.
Siyo tuu specifications zake bali pia hata mzunguko wa biashara in case kama una deal tayari mezani ikiisha utafanyia nini hiyo mitambo.
Hii itatusaidia kujua return on that investment ambayo ndio itakufanya ufanye maamuzi ya kununua au kuacha.