Mashine heavy duty kwa ajili ya kukatia mikate kiwandani.Picha iliyokuwepo siyo inayouzwa ila imefanana kiasi na ipo katika hali nzuri sana.Sijaweza kuipiga picha hivo mtaniwia radhi lakini ipo Dar na unauwezo kwenda kuiona.Bei ni milioni 1.5 na kwa mahitaji naomba upige namba hii 0773027777
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.