Mashine kusaga, sabuni, tofali n.k

Mashine kusaga, sabuni, tofali n.k

mkuu niliiweka ila kwa faida ya wengine
Mashine hii inatengenezwa kwa oda unalipa asilimia 75% ndipo inaanza kutengenezwa
Mkuu naomba weka picha za machine ya sabuni

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20180415-WA0010.jpeg
IMG-20180706-WA0013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi mashine za kukamua alizeti mnazo? Kama mnazo mnauzaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi mashine tunazitengeneza kwa Oda Ndugu unalipa asilimia 75 ofisini kwetu ndipo inaanza kutengenezwa kwa sasa gharama yake ni million 11 na ukitaka itoe mafuta refined kabisa inakubidi iwekwe heater zake unaongeza million jumla kuu million 13
lolote tujulishe 0762612213

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*ORODHA YA BEI ZA MASHINE ZA KUSAGA & KUKOBOA NAFAKA*

*VINU VYA KUSAGA;*
Namba25 - 2m inasaga KG250 kwa saa, MOTA hp10.
Namba50 - 3.5m inasaga KG500 kwa saa, MOTA hp20.
Namba75 - 4.3m inasaga KG750 kwa saa, MOTA hp30.
Namba100 - 5.5m inasaga KG1000 kwa saa, MOTA hp40.

*VINU VYA KUKOBOA;*
Rola2 - 3.5m inakoboa KG500 kwa saa, MOTA hp20.
Rola3 - 4.2m inakoboa KG750 kwa saa, MOTA hp30.
Rola4 - 5m inakoboa KG1000 kwa saa, MOTA hp40.

*+255 762612213*

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom