Malalamiko mengi machine za Tofali tunayopokea Kwa wateja wengi

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,870
2,180
Najidakia kama watengenezaji na wauzaji wa mashine mbalimbali zikiwemo za tofali tumekuwa tukipokea malalamiko mengi hasa kwa makanjanja wachache katika sekta ya wazalishaji machine hapa nchini kwetu.

Mashine yeyote inahitaji vifaa bora Katika uundaji wake Leo tutazizungumzia za tofali hasa katika mota zake

Machine ya tofali ni muhimu Sana mota utakazotumia ziwe na ukubwa kuendana na kazi yake.

Mota zinazofaa kwa machine ya tofali vibrator ni hp 5
Na mixer mota zinazofaa HP 10

Sasa kumekuwa na wenzetu ujanja mwingi mota huwekwa chini ya hapo hp3-4
Na mixers hp7

Tunakushauri nunua machine sehemu sahihi utakaposhauriwa maana kuitafuta pesa yako ufanye ujariamali unakutana na mashine chini ya kiwango
Inauma USHAURI NA UNUNUAJI MASHINE TUONE NAJIDAKIA STORE
0659567058
Machine ya tofali million mbili na laki tano ya tofali moja
Na tofali mbili million mbili na laki saba
Na mixer million tatu na laki tano ya nusu mfuko
Na robo tatu million nne na laki tano
Na mfuko mzima million tano na laki tano
tapatalk_1596598714686.jpeg
tapatalk_1596598706156.jpeg
tapatalk_1596598663437.jpeg
IMG-20200719-WA0000.jpeg
IMG-20200629-WA0003.jpeg
 
Mimi kama mdau wa teknolojia, nawashauri anzeni kufanya utafiti mtengeneze mashine za kufyatua katika mfumo wa full production line.

Kutakua na. Mtu ana load mchanga na cement kwenye mixer.

Baada ya hapo ni automation tu mpaka tofali inakamilika.
 
Kwahiyo nikitaka kuanziasha kiwanda inabidi niwe na kama na mtaji wa mil 10 , Mashine 2.7m na mixer 5.5m na iliyobaki ni cement na mchanga/Maji...

Hivi biashara ya tofali inalipa kweli kama utatoa tofali 40 kwa kila mfuko?
 
Kwahiyo nikitaka kuanziasha kiwanda inabidi niwe na kama na mtaji wa mil 10 , Mashine 2.7m na mixer 5.5m na iliyobaki ni cement na mchanga/Maji...

Hivi biashara ya tofali inalipa kweli kama utatoa tofali 40 kwa kila mfuko?
Inategemea mkuu maana Katika ujasiamali Hakuna pesa ndogo unaweza ukaanza hata na machine moja tukakuelekeza ufanye nini tofali liwe bora kwa mashine ya 2.7m tu

Ila kama ni kiasi hicho una uwanja mpana Sana karibu tupeane ushauri
0659567058
 
Inategemea mkuu maana Katika ujasiamali Hakuna pesa ndogo unaweza ukaanza hata na machine moja tukakuelekeza ufanye nini tofali liwe bora kwa mashine ya 2.7m tu

Ila kama ni kiasi hicho una uwanja mpana Sana karibu 0762612213 tupeane ushauri

Sawa mkuu nitakutafuta ngoja nifanye mpango wa kuchimba kisima kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom