Wakuu wapi naaweza pata mashine za kuprint tishet na vikombe??
Mgeni tayari umeshajua neno "wakuu"?
ID mpya tu ila mkazi wa zamani
Nenda instagram andika thebridgetz jamaa anauza mashine nyingi sana na pia ni member mwenzetu humu jf..
Mgeni tayari umeshajua neno "wakuu"?
ID mpya tu ila mkazi wa zamani
Nimekusaidia hapa mkuu..View attachment 902659