Ngoja nipeleke cha Tarime yaani unakitoa shambani kibichi na cha kijani halafu unachimba shimo unaweka matawi ya migomba chini unaweka kitu unamalizia na matawi unafukia siku saba baada ya hapo unakitoa kinakuwa kimeiva kimeiva kimekuwa cha njano unakitoa unakipeleka unakiweka kwenye choo shimo ndani mpaka kinanyauka na kukauka ukikitoa hapo mtu akavuta lazima avue nguo
Asante bhangi umetusomesha wengi na hauna madhara mengi kama sigara.
Weweeeee kuna CHA ARUSHA acha bana
Moro cha mtoto, ngoja waje mashuhuda wa Arusha
Cha chuga kimeshika nafasi ya ngapi chari angu Mafikizolo
Kwa hapa TZ cha chuga ni namba moko aseee arifuu
Kuna cha Moro
Kwa hapa TZ cha chuga ni namba moko aseee arifuu
Kuna cha Moro
'Jani likulie milimani kwenye baridi na maeneo ya mawe mawe....au miamba....' pafu moja tu kama unaanza uvutaji, unafyatuka palepale nakuanza kutembea umeina ukiulizwa kwa nini unatembea umeinama unawajibu...nyie hamuoni hiyo mbingu ilivyo karibu nikitembea wima wima sitanigonga kichwa.!!
UVUTAJI WA BANGI NA UTUMIAJI WA AINA NYINGINE YA MADAWA YA KULEVYA NI HATARI KWA AFYA YAKO YA MWILI NA KIAKILI; PIA NI HATARI KWA NDUGU ZAKO JAMAA ZAKO, KIZAZI CHA SASA NA VIZAZI VIJAVYO.
KOMESHA KWA NGUVU ZOTE MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA