Mchizi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 3,077
- 7,529
Simone Biles - Wikipedia ni Mweusi kama wewe na tayari ana gold 3 za Gymnastic hadi sasa kwenye olympic inayoendelea France,Sijui kwa nini hakushiriki kwenye hiyo category ya gymnastic aliyoshinda MAlgeria , ameshiriki categries nyingine.Huo ni mcheza mgumu sana