Mashindano ya Drafti kitaifa

Mzee Manyanya sehem gani,napendaga sana huu mchezo niwe mtazamaji lakini

Ukishuka kituo cha daladala kama umetoka Magomeni, unatembea kama hatua 100 kuelekea Morocco, upande huo huo ulioshukia utaona kuna jamaa wanacheza, hapo pia kuna pool tables 2.
 
Kuna jamaa wanamuita IWOBI anaishi Toangoma Kigamboni anaweka.. kiukweli hao jamaa wengine sijui huwezo wao ila uyo mwamba IWOBI, cjui niiwekaje ktk kumsifia coz kila neno naona kama halitoshi. Ila itoshe kusema kwamba "HAKUNA"
.

Huu mchezo una watu wanaoujua, huyo jamaa ukimtajia majina tuliyo yataja humu lazima akwambie anayafahamu na anayaheshimu.

Tanzania hii hakuna bingwa yeyote ambaye hamweshimu Mangwelele!
 
Kuna jamaa wanamuita OWEN yani draft limemfanya akawa chizi hivi tunavoongea kawa chizi kabisa yani anaokota makopo,naskia madaktari walimshauri hasicheze tena ila wapi,Huyu jamaa analijua ili dude sio mchezo,Na uchizi alionao ila hawamfungi...Namuonaga mitaa ya Extenal kule
 
Ngoja tuone itakuwaje, najua Issa Mamba pia atakiwasha, itakuwa burudani aisee.
Yeah mkuu ,,
ila
mimi kila mashndano napendaga kuangalia maendeleo ya vijana wadogo hawa wanaokuja juu pia.
kama kina dogo yassin,
kuna mashndano yalifanyika tanga mwez wa nne mabanda paa alifanya mabalaa makubwa.
So hua kila tournament napendaga kujua improvment zao.
 
Nafikiri Dogo Yassin ni moja ya vijana ambao wanaspidi kubwa sana ya kukua viwango, kuna kipindi Dogo Sisqo alikuwa sawa pia, ila sasa hivi naona kama kadrop sana.
 
Nafikiri Dogo Yassin ni moja ya vijana ambao wanaspidi kubwa sana ya kukua viwango, kuna kipindi Dogo Sisqo alikuwa sawa pia, ila sasa hivi naona kama kadrop sana.
Yeah mkuu sicqo kapungua sana,
Dogo yassin yupo serious sana na game ndo maana anakua kila siku.
Hakubali mashndano yoyote yale ya mafundi wakubwa yampite.
Hata kama ni wapi ataenda tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom