Mzee Manyanya sehem gani,napendaga sana huu mchezo niwe mtazamaji lakiniSasa hivi Ronaldo hashikiki mzee, anawasumbua sana aisee.
Mzee Manyanya sehem gani,napendaga sana huu mchezo niwe mtazamaji lakiniSasa hivi Ronaldo hashikiki mzee, anawasumbua sana aisee.
Mzee Manyanya sehem gani,napendaga sana huu mchezo niwe mtazamaji lakini
Kuna jamaa wanamuita IWOBI anaishi Toangoma Kigamboni anaweka.. kiukweli hao jamaa wengine sijui huwezo wao ila uyo mwamba IWOBI, cjui niiwekaje ktk kumsifia coz kila neno naona kama halitoshi. Ila itoshe kusema kwamba "HAKUNA"
.
Nipo hapa mkuuTutakutana.. Noel namaloe VIP atakuepo. ,?. Sued bingwa wa Patana..?wapi kwata mwivi....ulimwengu wa madraft una raha yake
Noel yuko sawa sana ndo mess wa mabao ssaiv,,..Tarehe ya mwanzo iliyokuwa imepangwa ni Tar 7, lakini mpaka sasa haijawa confirmed.
Kesho tutajua rasmi ni lini mtanange unaanza.
Maana itachukua siku 3 au 4. Nimesikia Nduli na Noel tayari wako mjini.
Ronaldo anakufaga kwa noel tu bas.Sasa hivi Ronaldo hashikiki mzee, anawasumbua sana aisee.
Ronaldo anakufaga kwa noel tu bas.
Wengne wote amna anaetia mguu
Yeah nduli anakomaaga sana ila sa kumi na mbili jion anakufa,Nduli pia anaweza kumkazia Ronaldo, sema panachimbika hasa.
Yeah nduli anakomaaga sana ila sa kumi na mbili jion anakufa,
Ila noel kalaniwa yule mtu hamna anaesmama nae kwa sasa,
ngoja tuone hii itakuaje labda wat watakuja na sumu mpya noel atapotea nae.
Yeah mkuu ,,Ngoja tuone itakuwaje, najua Issa Mamba pia atakiwasha, itakuwa burudani aisee.
Yeah mkuu ,,
ila
mimi kila mashndano napendaga kuangalia maendeleo ya vijana wadogo hawa wanaokuja juu pia.
kama kina dogo yassin,
kuna mashndano yalifanyika tanga mwez wa nne mabanda paa alifanya mabalaa makubwa.
So hua kila tournament napendaga kujua improvment zao.
Yeah mkuu sicqo kapungua sana,Nafikiri Dogo Yassin ni moja ya vijana ambao wanaspidi kubwa sana ya kukua viwango, kuna kipindi Dogo Sisqo alikuwa sawa pia, ila sasa hivi naona kama kadrop sana.
We nani kati ya hao..?Nipo hapa mkuu
Huyu ndo bingwa wa ngoma za pembeni..ana mabalaa yake nae sio mchezoDaaah! Swedi nilikutanaga nae pale sinza ... Akamchakaza Ronaldo Kama mtoto vile yule jamaa naona anajua saana.
Huyu swedi mashindano yalopita alikufa kwa noel robo fainali ila kwa tabu sana,,Huyu ndo bingwa wa ngoma za pembeni..ana mabalaa yake nae sio mchezo
Daaah! Ila naonaga Kama anajionaga Diamond wa madraga.Sasa hivi Ronaldo hashikiki mzee, anawasumbua sana aisee.
Namkubali saana. Kuna kipindi alimpa IP Man michezo kumi na IP Man atoe droo tatu tu. Jamaa kafa michezo 9. Mamaeee!Huyu ndo bingwa wa ngoma za pembeni..ana mabalaa yake nae sio mchezo