Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,583
- 20,478
Jamaa fulani mwanamichezo sana.Haya mashindano niliambiwa yatafanyika lakini nikajua ananitania.
Host wa haya mashindano ni jamaa mmoja hivi Big nilicheza naye pale manyanya nikamfunha goli za kutosha.
Halafu naambiwa hapa kuwa hiyo round imechezwa tayariJamaa fulani mwanamichezo sana.
Imechezwa waliopita hapo post ya pili. Kesho robo na nusu.Halafu naambiwa hapa kuwa hiyo round imechezwa tayari
Naambiwa kuwa waliopita niImechezwa waliopita hapo post ya pili. Kesho robo na nusu.
Mechi ya Nduli na Issa Mamba ilikuwa balaa. Hadi goli la dhahabu limetumikaNaambiwa kuwa waliopita ni
1. Sisco
2. Gaidi
3. Ronaldo
4. Dogo Shuku
5. Nduli
7. Ally
8. Noel
Vp Msomali hakushiriki kabisa?Mashindano ya siku Tatu ya drafti kitaifa yameanza leo huko Chunya, Mbeya.
Leo yamechezwa makundi na 16 bora.
Walioingia 16 bora ni hawa.
View attachment 2733910
Rama wa Arusha kapigwa kama ngoma na Sisqo.Hapa fainali wanaweza ingia Dogo Sisco na Ronaldo, au Dogo Sisco na Nduli
Naam, itakuwa fainali haswaa...ila natabiri kuanzia mwakani ARUSHA watakimbiza sana.