MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,605
- 42,588
Hii ni special case. Wanafunzi 1032 kwa darasa moja ni wengi sana. Hapo unapata mikondo 26 kwa wastani wa wanafunzi 40 kila mkondo. Shule kama Tanga Tech, Moshi Tech, Ilboru, Mzumbe na zingine za kitaifa huwezi kuta kwenye darasa moja kuna wanafunzi zaidi ya 50. Hao wa kata hawatendewi haki. Hapo wanafunzi 1032 unakuta kuna waalimu wasiozidi 10 wakati ilitakiwa wawe zaidi ya 50. Kwenye practicals waliingia kwa session ngapi?
Shit[emoji15]
Vibaya mno[emoji1787]NECTA imemwaga waolewaji!
Dc mwegelo wame mwamisha ingebidi ianze kampeni yake ya Tokomeza zero...Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.
YUTONG 7 fullDivision ziro 474....noma sana
Aliyekwambia wanaoleka nani? Hao wadangaji na boda boda wazuri tuNECTA imemwaga waolewaji!
Subiria matokeo ya 2024 utafurahia showDarasa lina wanafunzi buku
Visiwani yapaswa iwakilishwe na wajumbe 10 tuIundwe tume wajumbe 250 (125 bara, 125 visiwani) ichunguze hizi hujuma
Hizo ni shule 2 kamili ndani ya darasa 1Hawa nouma
Ina maana darasa lina wanafunzi 900+ ? [emoji3064] Hapa serikali ifanye jambo aisee
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Wilaya ya Temeke ina tatizo sanaDivision ziro 474....noma sana
Kwamba wakati wake ndio watu walifaulishwa?Mtanikumbuka
Yaani tuna na titakuwa na taifa bovu kuwahi tokea.Walasio uongo ukitaka kujua kuwa n kweli hzo division 0 sio uongo fuatilia comment na stori zenye wafuasi wengi n za namna GANI hapa jf ndio utajua Kuna bomu hapo ikifika 2035-2050 hao watu wazima(40-50'yrs) na watoto wa umri huo nakwambia itakuwa n majanga sana kama taifa halitarud kwa mkolon sijui
Siasa ya Elimu bure, hawa nao watazaa watoto wenye akili kama zaoShit[emoji15]
Zero haiondolewi kwa siasa.Dc mwegelo wame mwamisha ingebidi ianze kampeni yake ya Tokomeza zero...
Tatizo ni wazazi kutowajibikaLipo tatizo kubwa sehemu
Watoto wasilaumiwe
Kila mtoto mwenye alizaliwa timamu anafundishika
Wazazi wenyewe kina Amber LuluZero haiondolewi kwa siasa.
Maswala ya elimu huanzia kwa wazazi kuwajibika