and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,173
- 39,576
Ni wakati Sasa Zanzibar kuwa na Baraza Kamili la Mitihani. Dhuluma hii haivumiliki.Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.
Mama kaamu kuficha maradhiShule za umma za dar ni majanga
Na bongo movieNECTA imemwaga waolewaji!
Safi sana vijana.Wengine hawa
Darasa lina wanafunzi buku
Hawa nouma
ππππHakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.
Huu uzi uwekwe tag ya 'special thread' ya shule zilizolamba sifuri za kutoshaHakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.
Division ziro 474....noma sana