Siku ile Simba inafungwa goli tatu kwa moja na Nairobi City Stars sisi watoto wa wakulima tulikuwa busy mashambani maana ilikuwa sikukuu yetu hivyo tusingeweza kupost chochote hata kama Simba ingeshinda.Doh I can see wana'Simba sasa mnafunguka,MUNGU endelea kujalia katika michuano hii ya ABC hii team iendelee kukutana na team zilizopanda daraja huko Visiwani na Tanzania Bara,huku ukiendelea kuishushia neema za penalt kupitia hawa Waamuzi wetu wa kibongo ili iendelee kushinda, Simba inaposhinda Wana'Simba wanachangamsha sana hili jukwaa letu,ilivyokula 3-1 toka kwa Wakusanywa wa Nairobi Rafiki zangu Masuke na PrN walipotea kabisa humu,wamekuja kurudi baada ya ushindi wa jana.