Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,494
- 19,530
Naam ila Bi Mkubwa labda angeamua kufuata fursa ya kupiga ngoma na kila siku watu wanakuja kufurahia mdondiko na kupiga kinywaji..., Hakika lingejaa....Its all about physics wala sio uchawi au mazingaombwe. Ipo hivi, haya mashimo kuna namna yanatengenezwa kuchuja maji na taka mwili. Maji taka hunyonywa na ardhi kuelekea chini wakati zile taka mwili hubakia na kuoza na kugeuka wadudu ambao hupotelea ardhini huko na kurutubisha udongo.
But ili yawe effective inatakiwa kujua utaratibu wake wa namna ya kuyajenga. Shimo la nyumbani kwa bi mkubwa lilijengwa 1989 hadi leo hapa naandika, mwaka huu 2021 mwezi February, halijawahi kujaa wala kuvujisha siri za ndani yake.......
Kwahio hapo ni the rate of decay ni kubwa kuliko the rate of deposit..., ila deposit ikizidi rate of decay..., hapo hakika mtatafutana...., ndio maana hao watu nadhani lazima waulize ukubwa wa familia