Mashimo ya Choo yasiyojaa ni kama yako Over-Charged hivi

Mimi nilichokifanya, kwanza nilisoma kwa makini na kuangalia video mbalimbali Youtube na kwenye baadhi ya account za instagram za wanaofanya kazi hii.

Ni kweli ukiangalia material wanazotumia na ghalama wanayokupa ni vitu viwili tofauti kabisa. So nilichokifanya mimi ni kumwita fundi anifanyie nnachokitaka (kama nilivyokua nasoma mitandaoni). Na kazi aliimaliza vizuri kwa ghalama isiyozidi laki 8.

Hata hivyo hiyo ghalama bado ni kubwa sana kwa kazi wanazozitangaza hao jamaa. Mimi nilijeng mashimo makubwa kidogo ndio maana ikafikia ghalam hiyo
Ulifikilia sana boss
 
Mimi ni mtaalamu wa hii kitu. Nimetengeneza sana huu mfumo. Tangu nianze miaka kumi iliyopita sijawahi pata changamoto ya mteja kulalamika kujaa. Pia tunaandika mikataba. Mimi mikataba wangu no kwamba ndani ya miaka kumi ukipata changamoto yoyote natengeneza upya kwa gharama zangu. Tatizo linakuja pale watu wanapovamia fani Bila kujua siri nzito iliyopo hapo
Ila we dalali wa mafundi ni muongo muongo
 
Wakuu Kwema?

Kuna haya mashimo ya choo wanayosema hayajai. Inawezekana kweli hayajai au yanajaa kwa kuchelewa lakini naona kama yanakuzwa sana Gharama zake. Yaani nikijaribu kuangalia materials yanayotumika kujenga haya mashimo sioni kabisa system moja ya mashimo mawili kugharimu 2Mil +.

Inawezekana kabisa labda sababu yanapendwa sana ndio maana bei zake ziko juu ili wajenzi wapige hela ndefu, lakini kwenye materials halisi ki ukweli nyinyi wajenzi mnakuza sana.

Au kuna mwenye kuelewa why bei za haya mshimo (system) ziko juu wakati bei za mchanga, cement, kokoto, pipes vinajulikana?
Nadhani bei kuwa juu haitokani na material inayotumika, bali utaalamu unaotumika kujenga mashimo hayo. Kwa sana unacholipia ni utaalamu na si material inayotumika kujenga mashimo hayo. Kama mashimo hayo yangeweza kujengwa na mafundi hawa wa kawaida, gharama isingevuka kiasi zaidi ya laki mbili au tatu. Kwa hiyo mzee hapo unachajiwa kutokana na akili inayotumika, na si material yanayotumika
 
Mimi nitengeneza hizi system, huyu anaesema ni cheap namshangaa.

Gharama yangu ni kati ya 2m-2.5m kulingana na mazingira yalivyo. Kunawakati ukikosea kustudy site hiyo hela inakata najikuta natumia gharama zangu. Hapa jf kila mtu anajifanya mjuaji
Ndio nachosema ni kweli Materials yake yanafikia huko kwenye 2m - 2.5mil?
 
Nadhani bei kuwa juu haitokani na material inayotumika, bali utaalamu unaotumika kujenga mashimo hayo. Kwa sana unacholipia ni utaalamu na si material inayotumika kujenga mashimo hayo. Kama mashimo hayo yangeweza kujengwa na mafundi hawa wa kawaida, gharama isingevuka kiasi zaidi ya laki mbili au tatu. Kwa hiyo mzee hapo unachajiwa kutokana na akili inayotumika, na si material yanayotumika
So ni kama alivosema mdau pale juu kua Materials 400,000/= kisha Utaalamu 1.6mil?
 
Hii 2m ni contract value... Yaani gharama zote za site Kama site visit, site organization, materials na contractor's profit.
Hii mada akijibu Mtu anaefanya Biashara ya Kuwachimbia watu haya Mashimo kama wewe lazima uta justify tu bei kuzidi 2mil. Lakin kua mkweli, Materials mnatumia kias gani katika hiyo 2mil?
 
Mi nadhan bei kubwa sababu wanaofany hii kazi bado wachache.....ukitaka bei iwe chini kidogo mchukue fundi anaefanya kaz kwenye haya makampun akufanyie kibingwa....
Lakini ni kweli hayajai..
Hapo umeongea Mkuu,
Heri fundi anaefanya kwenye haya makampuni akakufanyia private
 
Ni kweli kaka,

Nimekumbuka wale jamaa wanaoweka Liquid Screen Protector, zilikuaga zaitwa NANO nadhani. Wakati wanaingia ilikuaga kuweka ni 20,000/=. Lakini sasa mpaka TZS 5,000/= unaweka, na hivi zishaingia feki.
Juzi kuna mmoja kariakoo alitaka aweke ktk simu yangu kwa 2500 ...nilichekaaaa nikamwambia ngoja niingie hapa atm mashine narudi
 
Mimi ni mtaalamu wa hii kitu. Nimetengeneza sana huu mfumo. Tangu nianze miaka kumi iliyopita sijawahi pata changamoto ya mteja kulalamika kujaa. Pia tunaandika mikataba. Mimi mikataba wangu no kwamba ndani ya miaka kumi ukipata changamoto yoyote natengeneza upya kwa gharama zangu. Tatizo linakuja pale watu wanapovamia fani Bila kujua siri nzito iliyopo hapo
mnaongeaga u$€^ge tu hamna lolote.
Hizo pesa za kutengeneza mfumo ukiharibika miaka 7 ijayo utazipata wapi wakati pesa zenyewe ni zakudunduliza.
maneno meeeengi BS tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom