Kama utaalamu huo wanao na haugarimu sana wangeweka tu bei ya kawaidaKama wanaweza ku-defy logic (yaani unajaza kitu alafu hakijai) basi hata hio pesa wanayochaji ni ndogo... nawashauri waongeze maradufu ili waamie kwenye madampo yasiyojaa... Hapo mwisho wa siku tutaokoa mazingira
Hapana Mkuu knowledge is Power..., na pesa ni nini zaidi ya kufacilitate kile unachotaka..., kwahio mpaka pale supply itakapokuwa kubwa kuliko demand..., wenyewe watashusha tu.Kama utaalamu huo wanao na haugarimu sana wangeweka tu bei ya kawaida
Ni kweli kaka,Fursa fursana ...fasheni mpya inapoingia hutikisa mbaya ikizoeleka ni kitu cha kawaida kabisa
Check hizi wireless charge utafikiri unanua dhahabuNi kweli kaka,
Nimekumbuka wale jamaa wanaoweka Liquid Screen Protector, zilikuaga zaitwa NANO nadhan. Wakati wanaingia ilikuaga kuweka ni 20,000/=. Lakin sasa mpaka TZS 5,000/= unaweka, na hivi zishaingia feki.
Wanatoa guarantee muda ganiDuh,
Huu sasa ni utapeli. Maana akishakujengea mnakua mmemalizana, hapo after two years yakijaa aliekujengea mshaachana hamjuani.
Ndio shida ya wabongo wengi, ni sawa na yule anaeuza kiatu dukani kwa 100,000 wakati anakaa nacho dukani mwaka hakijanunuliwa, wakati mwenzake anauza kwa 60,000 viatu vilevile vinatoka na kwa mwaka anaingiza mzigo dukani mpaka mara 5 au zaidi...Sasa kama Utaalamu tayar anao, si angefanya tu kwa hata 200,000 + materials 400,000 ili apate wateja wengi sababu wengi watamudu gharama?
Its all about physics wala sio uchawi au mazingaombwe. Ipo hivi, haya mashimo kuna namna yanatengenezwa kuchuja maji na taka mwili. Maji taka hunyonywa na ardhi kuelekea chini wakati zile taka mwili hubakia na kuoza na kugeuka wadudu ambao hupotelea ardhini huko na kurutubisha udongo.Binafsi siamini ile system thou kuna nanmna wananishawishi kwa sasa nataka mwenye ushahidi alietumia ile system kwa miaka walau mitano bila kujaa anirecommend niweke kwenye project yangu.
JF bwana burdaaaani kabisaawashauri waongeze maradufu ili waamie kwenye madampo yasiyojaa...
Daah 89 hadi leo si wanasema ni ya kileo/kisasa? Kumbe tangu zamani yalikuwako? Asante kwa ushuhuda.Its all about physics wala sio uchawi au mazingaombwe. Ipo hivi, haya mashimo kuna namna yanatengenezwa kuchuja maji na taka mwili. Maji taka hunyonywa na ardhi kuelekea chini wakati zile taka mwili hubakia na kuoza na kugeuka wadudu ambao hupotelea ardhini huko na kurutubisha udongo.
But ili yawe effective inatakiwa kujua utaratibu wake wa namna ya kuyajenga. Shimo la nyumbani kwa bi mkubwa lilijengwa 1989 hadi leo hapa naandika, mwaka huu 2021 mwezi February, halijawahi kujaa wala kuvujisha siri za ndani yake.......