Mashetani wa utajiri na nguvu za Marekani" (Simulizi za Aliens na Area 51)" on YouTube

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,858
20,712
Kwa muda mrefu kumekuwa na imani kwamba mafanikio ya taifa la Marekani yanatokana na ushirikiano na mashetani.Inasemekana uhusiano huu una zaidi ya miaka sitini.Kituo ambacho serikali ya Marekani imekuwa ikikitumia kinaitwa Area 51.Katika kituo hiki,zipo tafiti nyingi ambazo viumbe wanaoitwa Aliens ndio wanao ongoza tafiti hizo.

Hivi karibuni utafiti uliofanywa kwa wananchi wa Marekani umeonyesha kwamba 54% ya Wamarekani wanaamini kwamba serikali yao inashiriana na Aliens katika tafiti mbali mbali ambazo dunia inatumia

Ili kupata ukweli wa kile kinachoendelea Area 51,Wamarekani takribani zaidi ya milioni moja wamejipanga kuvamia eneo hilo.Hata hivyo serikali ya Marekani imeapa kwamba iko tayari kukabiliana na waandamanaji hao ili kulinda kile kinachoendelea Area 51,hata ikibidi kuua waandamanaji.

Kupata taarifa kamili tafadhali sikiliza clip zifuatayo.

Niwe tu mkweli mtu yoyote atakaejifanya anajua kuhusu kinachoendelea area 51 nitamuona kama mtu muongo zaidi humu JF
Mkuu kama umesikiliza clip vizuri, utakuwa umesikia kwamba wapo watu ambao wamefanya kazi Area 51 na ambao sasa wamestaafu.Hawa wametoa siri wa yale yanayoendelea humo.Hii iko comfirmed na websites nyingi.Tatizo ni kwamba kwa vile kupiga picha ya aina yeyote na kutoka na taarifa nyingine yeyeto ni impossible kwa sababu ya rigorous checks na constant monitoring,inakuwa vigumu watu hao kuaminika.Inasemekana pia kwamba Area 51 wanatumia nguvu nyingi sana kujaribu ku-nullify kila aina ya siri inayovuja.So wapo watu wanaojua kinachoendelea Area 51,lakini hakuna uthibitisho wa data.
 
Mtu mweusi hana akili, anaamini utajiri unapatikana kwa njia za kishirikina badala ya kazi na uvumbuzi
Eti mashetani, dahhh
Haya sasa kwa nini nyie msishirikiane na hao mashetani muwe matajiri pia?
Au mashetani na wenyewe ni wabaguzi wa rangi, hawampendi mtu mweusi?

Halafu ni aibu kwa "great thinker" kuchukua clip ya YouTube na kuifanya ndio reference ya ukweli, wakati hata mimi nina Youtube account yangu ambayo naweza ku upload ujinga tu kama huo
 
Mkuu kama umesikiliza clip vizuri, utakuwa umesikia kwamba wapo watu ambao wamefanya kazi Area 51 na ambao sasa wamestaafu.Hawa wametoa siri wa yale yanayoendelea humo.Hii iko comfirmed na websites nyingi.Tatizo ni kwamba kwa vile kupiga picha ya aina yeyote na kutoka na taarifa nyingine yeyeto ni impossible kwa sababu ya rigorous checks na constant monitoring,inakuwa vigumu watu hao kuaminika.Inasemekana pia kwamba Area 51 wanatumia nguvu nyingi sana kujaribu ku-nullify kila aina ya siri inayovuja.So wapo watu wanaojua kinachoendelea Area 51,lakini hakuna uthibitisho wa data.
Huwezi kutoka huko ukatoa siri
 
Hiyo habari ya siku nyingi kidogo, na walipanga kupitia facebook, lakini mwisho wasiku hawakufika hata 50.
 
Niwe tu mkweli mtu yoyote atakaejifanya anajua kuhusu kinachoendelea area 51 nitamuona kama mtu muongo zaidi humu JF
Wapo wanaofahamu, ingawa nilisoma siku moja google news kuna jamaa alikuwa anafanya kazi huko, alisema sio kweli kwamba pale pana Alliens.

Niliwahi kutembea pembezoni mwa eneo hilo lakini sikuwahi kuingia ndani, kuna mji jirani unaitwa LUND jirani na PRESTON, Nevada ndipo nilikuwa naishi kwa muda wa miezi mitatu, haiko mbali sana na hiyo area 51 ni mwendo wa kama 5hrs tu.
 
I had been there!, and i know every thing baut what happen there sio kila kitu ni shetani / Dunia ipo na mambo yake mengi mno na tutaiacha,ina siri nyingi ina miiko yake /ina taratibu zake ina wapanga ajenda wake ina watu wanaofikiria miaka 400 mbele..umeletewa biblia na koruan visome na ishia hapohapo.
 
Nahisi hizi hadithi zinafika mahali zitampata mtu.

Mara Triangle Bermuda leo 👽 Aliens, kesho ISIS wanatoka Pentagon alafu ndipo unamsikia Trump akakwambia...

Gaidi aliyeuawa alikuwa 'Akilia na kupiga kelele'
 
Huwezi kutoka huko ukatoa siri
Nipe ushahidi kwamba huwezi kwa kuwa wapo wengi waliotoka huko na wametoa siri wa yale yanayoendelea huko.Tatizo kama nilivyosema evidence yao ni verbal,kwa kuwa huwezi kutoka kule na proof yeyote.Surveillance ni kali kupita maelezo.
 
Nahisi hizi hadithi zinafika mahali zitampata mtu.

Mara Triangle Bermuda leo 👽 Aliens, kesho ISIS wanatoka Pentagon alafu ndipo unamsikia Trump akakwambia...

Gaidi aliyeuawa alikuwa 'Akilia na kupiga kelele'
Mkuu Bermuda Triangle is real na Aliens ambao kiukweli ni mashetani wapo.Kama Mungu yupo na Aliens kwa hiyo wapo,kwa kuwa those are the opposing forces tying to control the destiny of humanity on Earth and eternarly.
 
I had been there!, and i know every thing baut what happen there sio kila kitu ni shetani / Dunia ipo na mambo yake mengi mno na tutaiacha,ina siri nyingi ina miiko yake /ina taratibu zake ina wapanga ajenda wake ina watu wanaofikiria miaka 400 mbele..umeletewa biblia na koruan visome na ishia hapohapo.
Mmm,hii nayo mpya,wewe ufike Area 51?!Anyway,mkuu hawa watu hawafikirii 400 years mbele,that is too short a time for them,they plan1000 years ahead!

Ni kweli kwamba tunapaswa kuishia kwenye Biblia,lakini kwani kuna jambo ambalo Biblia haijaliongelea,hakuna.Hata haya yanayoendelea Area 51,Biblia imeyaongelea.Nothing, and I repeat nothing ,has escaped the Bible,everything you see,touch,smell etc.and even those you do not see,the Bible has talked about.

Nimalizie kwa kusema kwamba mambo haya yanahakikisha tu kwamba Biblia inayosema ni kweli.
 
Nipe ushahidi kwamba huwezi kwa kuwa wapo wengi waliotoka huko na wametoa siri wa yale yanayoendelea huko.Tatizo kama nilivyosema evidence yao ni verbal,kwa kuwa huwezi kutoka kule na proof yeyote.Surveillance ni kali kupita maelezo.
Kama yanayoendelea huko ni siri wanaoenda huko lazima wana kiapo na kama kuna wanaovunja kiapo hicho wakabaki salama basi wanachokupa sio sahihi

Ni akili ya kawaida tu
 
Kwa muda mrefu kumekuwa na imani kwamba mafanikio ya taifa la Marekani yanatokana na ushirikiano na mashetani.Inasemekana uhusiano huu una zaidi ya miaka sitini.Kituo ambacho serikali ya Marekani imekuwa ikikitumia kinaitwa Area 51.Katika kituo hiki,zipo tafiti nyingi ambazo viumbe wanaoitwa Aliens ndio wanao ongoza tafiti hizo.

Hivi karibuni utafiti uliofanywa kwa wananchi wa Marekani umeonyesha kwamba 54% ya Wamarekani wanaamini kwamba serikali yao inashiriana na Aliens katika tafiti mbali mbali ambazo dunia inatumia

Ili kupata ukweli wa kile kinachoendelea Area 51,Wamarekani takribani zaidi ya milioni moja wamejipanga kuvamia eneo hilo.Hata hivyo serikali ya Marekani imeapa kwamba iko tayari kukabiliana na waandamanaji hao ili kulinda kile kinachoendelea Area 51,hata ikibidi kuua waandamanaji.

Kupata taarifa kamili tafadhali sikiliza clip ifuatayo.

Mhhhh... hili sakata mbona ni la tangu miezi ilopita na limeshaisha. Nakumbuka hapa nyuma watu walihamasishana sana na kampeni ya "Storming area 51" lkn mwisho wa siku yakawa kama yale ya maandamano ya mange kimambi na minions wake kipind fln.

Afu naona chanel ya wasafiTV youtube wanapenda sana kuongelea stori zisizo na uhakika ambapo kwa level yao hawapaswi kufanya hivo coz wanakua hawana tofauti na chanels za uzushi huko youtube
 
Haya mambo sio ya kizushi kama unavyofikiria.Mkuu kama viongozi wa juu wa the American Government wanakiri kwamba haya mambo ni ya ukweli,wewe ni nani hata upinge?Kwanza ni swala la muda tu,wamesema watayaweka hayo mambo wazi.

Halafu Wasafi wana haki ya kuzungumzia na kushabikia haya mambo,kwa kuwa wao ni watoto wa nyumbani,wapo pia kwa ajili ya kusambaza ujumbe kuhusu mipango ya siri ya Aliens a.k.a mashetani.Kama kweli wewe unawajua Wasafi ni akina nani, wala hupaswi kushangaa.Kwanza hilo jina lenyewe Wasafi linaficha jambo,the opposite is true,kwa anayewajua hawana usafi unaouzungumzia wewe wala heshima.
 
Mhhhh... hili sakata mbona ni la tangu miezi ilopita na limeshaisha. Nakumbuka hapa nyuma watu walihamasishana sana na kampeni ya "Storming area 51" lkn mwisho wa siku yakawa kama yale ya maandamano ya mange kimambi na minions wake kipind fln.

Afu naona chanel ya wasafiTV youtube wanapenda sana kuongelea stori zisizo na uhakika ambapo kwa level yao hawapaswi kufanya hivo coz wanakua hawana tofauti na chanels za uzushi huko youtube
Kama wewe umeshalisikia hili swala kaa pembeni,ngoja ambao hawajasikia nao wapate taarifa.
 
Back
Top Bottom