Mkuu
Tuko,
Siyo utani wa shepu tu kwa hawa wenzetu.
Kuna threads kuhusu Ukwapuaji, kupenda chapaa, ukabila, ukanda etc.
Lakini kuna yule mchaga ambaye ana duka linalouza Wali, cement, petroli, vioo, mbao, unga, spea za bodaboda, mbege, vyumba vya wageni, nyanya, baruti, Biblia, konyagi nk.!!