Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 306
1.Kwani Kesi yao imeshaisha?Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
AmetoaMkuu, Rais hatoi msamaha kwa mahabusu
Msamaha wa mahabusu upo. Kumbuka ziara ya rais gereza la Butimba, nini kilifanyika kwa mahabusu, kama unakumbuka vizuri?Mkuu, Rais hatoi msamaha kwa mahabusu
Ametoa msamaha kwa waliohukumiwa tayari. Sheria inamruhusu. Lakini sheria haimruhusu kwa ambao kesi zao zinaendelea. Tofautisha hilo.Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Kwani majina ya yalishatoka? Nasubiri jina la Sethi Singh & Co.Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Siwezi kumtetea mtu anayetaka kuhatarisha amani ya nchi hata kama ni muislam au mkristo mwenzangu,kwa hilo suala siyo la kisiasa.
Daah! Hii ndio tz tulikopelekwa kwa sasa kila atakae sema kweli kuhusu muungano ati anataka kuondosha amani ya nchiSiwezi kumtetea mtu anayetaka kuhatarisha amani ya nchi hata kama ni muislam au mkristo mwenzangu,kwa hilo suala siyo la kisiasa.
KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.Miungu watu wabaya sana. Hii kesi hata haifanyiki wamewaweka huko mahabusu sijui mwaka wa ngapi sasa. Utawala bora Tanzanian style. Yaani kwa data za leo mahabusu ni wengi kuliko wafungwa.
Hao sio mashekhe ni wahuni tu waliojivisha ushekhe ndani yake.Mashekhe ni wale wanaowafundisha watu kuacha maovu na kumtafuta Mungu tukiishi kwa kuvumiliana na upendo mkubwa.Ukiona mtu anaeneza chuki,utengano basi huyo ni mhuni Kama wahuni wengine.Kama Kuna Shekhe na hakutendewa haki Basi muda utafika na atatoka.
Unataka wauaji wa kibiti wasamehewe?Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka