Masheikh wa Lowassa feki

Kwani haya si yako? njaa mbaya sana,unahofia malipo kusitishwa?
 
BAK ni lofa namba moja duniani.

Mungu anamtia adabu kwa unafiki wake
 
Nilifikiri kuna updates kwamba, wale Masheikh wamethibitika walikuwa halali.
 

sijajua maana rasmi ya sheikh lkn napata utata maana dubai mjukuu wa mfalme anatwa sheikh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi njaa za BAK ni kiboko.... JF ni kiboko ya wanafiki
 
Kiukweli Chadema ya sasa inatia kinyaa... Wakina BAK ndio watetezi wake.
 
Jamaa anatamani kubadili ID hapo alipo!
 
Jamaa anatamani kubadili ID hapo alipo!
 
Mkuu, "unabisha nini wakati Mange ametuambia?" Hahahaaaaaa.

Mkuu unacheka eeh? Unadhani ni uongo?

Jaribu tu ku pay attention kidogo humu uone....watu wa hizo sampuli wapo wengi tu humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…