Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,603
- 287,312
atapita njia gani ?Nchi itapata laana kwa mara ya pili baada ya kikwete km mamvi jambazi sugu atakuwa rais
Mpwa hizi sinema tamu sana jana Nape kamsifu EL .
Tanzania ni drama queen,sasa amesifiwa kweli kweli kwamba ameonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuyapiga stop makundi hayo yanayomuendea,mpaka ifike October kwakweli tutaona na kusikia mengi.
Siamini macho yangu...!!!
wiki moja kabla ya mbuzi kuchinjwa hupewa majani mengi sana .
Hata yeye lazima aje na sera. It is not given eti kwa kuwa ametokea chama pinzani basi tutamchagua. Eti kwa kuwa tumeichoka CCM basi yeyote yule tutamchagua.
Nimechoka na siasa za vyama. Ni wakati Watanzania kuchagua mtu kutokana na sera zake na historia ya utendaji wake katika nafasi mbalimbali za uongozi ikiwezekana kufuatiliwa hata shule ya msingi kama aliwahi kuwa 'class monitor' na alikuwaje.
#tubadilikeWatanzania ...
Hayo mawazo yamepitwa mno na wakati.
"Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions," Mr Obama told his audience.
SOURCE
Mkuu hapo kwenye bold hatuna muda wa kufuatilia kwa bahati mbaya vichwa vimeharibwa na tumbo na wale wanaoweza kutusaidia huwa hawapigi kura . Kama unabisha fuatilia hasa sehemu za mijini. Halafu utaratibu wa kumchagua mtu kulingana na utendaji wake ni ngumu bila kufikiria chama anachotoka, kumbuka hatujaweza kuwa na wagombea binafsi . Kitu muhimu ni katiba ambayo imebaki kuwa ndoto kupatikana ijapo tunaona kutakua na kura ya maoni lkn jiulize haya mapendekezo ya six yalifanyika kwa utashi wa washiriki kweli. Tumeona ngwala za kila namna kipindi cha BMK sasa kuna kitu tena hapoHata yeye lazima aje na sera. It is not given eti kwa kuwa ametokea chama pinzani basi tutamchagua. Eti kwa kuwa tumeichoka CCM basi yeyote yule tutamchagua.
Nimechoka na siasa za vyama. Ni wakati Watanzania kuchagua mtu kutokana na sera zake na historia ya utendaji wake katika nafasi mbalimbali za uongozi ikiwezekana kufuatiliwa hata shule ya msingi kama aliwahi kuwa 'class monitor' na alikuwaje.
#tubadilikeWatanzania ...
Unajua umesema jambo la msingi sana acha tu yaani nakuambi sijui kama kuna makaburi hawatatamani kuyafukua na kuwapa adhabu marehemu yaani watatamani watu wafe mara ya piliKizazi kijocho kitatulani hata tukifa tushindwe hatakurest in peace. lo!
Kwani nini unadhani wengine hawajamuelewa ila wewe ndio umemuelewa?Nilivyo muelewa BAK ni kuwa hazikani threads zake wala posts zake na nyingi akimshutumu lowasa kuwa ni fisadi so hata alipokwenda chadema yeye BAK aliendelea kumuona kwa jicho hilo hakuwahi kumsafisha.
Sasa anasema mwenye thread yoyote inayo muonyesha BAK akimpaka sabuni lowasa watu waiweke ndio nadhani hoja yake ya msingi imelalia hapo .