Masheikh mliolopwa posho huu inawahusu

Masheikh mliolopwa posho huu inawahusu

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
2,370
Reaction score
6,720
Bonus: Mgodi wa GGML kufungwa December 05. Mwanakulitafuta...

Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani
Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia njia ya vitisho kwa umma.

Uislamu uko wazi kabisa:

“mwenye kuua nafsi isiyo na hatia nikama ameua watu wote.”
(Qur’an 5:32)

Hivyo:
Haihalalishwi kukata vichwa
Haihalalishwi kushambulia watu
Haihalalishwi kuchochea damu kwa sababu za dini, siasa au tofauti ya mawazo
Haihalalishwi kuuana kwa sababu kuna maandamano

Uislamu unakataza kuchochea chuki kati ya dini nyingine.

Mtume ﷺ aliishi na Mayahudi, Wakristo, na makabila mengine bila kuwafanyia uadui.

Katika Qur’an, Allah amesema:

“Wala msibishane na Watu wa Kitabu isipokuwa kwa njia iliyo bora.”

(Qur’an 29:46)

Huyo shekhe aliposema “machafuko yanafanywa na Wakristo” ni kueneza chuki ya kidini, jambo ambalo Uislamu haliruhusu kwa sababu:

linavunja amani

linawagawa wananchi

linazalisha uadui na kuuwa watu wasio na hatia

halina dalili za kisharia

Na kuhusu wito wa kuchinja au kukata vichwa misikitini ni haramu

Mtume ﷺ amesema:

“Mwenye kumwambia watu: muuweni, si miongoni mwetu.”

(Hadith Sahih)

Na pia akasema:

“Muislamu ni yule ambaye Waislamu wengine wameokoka kutokana na ulimi wake na mkono wake.”

(Bukhari & Muslim)

Kwa hiyo, mtu anayewaita Waislamu wachukue panga na wawe tayari (kukatakata) watu:

anataja haramu

anaeneza fitna

anaenda kinyume na mafundisho ya Mtume

sio busara wala si sehemu ya dini

Hata kama ni shekhe — hakuna mtu yuko juu ya sheria ya Allah.

Je vipi kuhusu Maandamano na siasa si kigezo cha kupigana

Katika Uislamu:

Ikiwa serikali imekataa maandamano wananchi wanatafuta haki kwa njia ya amani, sio kubeba silaha. Hapo ni salama.

Ikiwa kuna dhulma bado haikupi ruhusa ya kuuana kiholela.

Mtume ﷺ aliishi wakati wa dhulma nyingi sana hakuwahi kuamrisha (kuchinja) watu.
Kwa hivyo… yale maneno mliyosikia kutoka kwa shehe hayana msingi wa Kiislamu

Kwa muhtasari:

✔ Uislamu unakataza kuchochea vita

✓uislam unakataza maandamano yenyevurugu na uvunjifu wa amani.

✔ Uislamu unakataza chuki kwa Wakristo au dini nyingine

✔ Uislamu unakataza kutishia kuuana

✔ Uislamu unalinda amani ya taifa

✔ Uislamu unakataza kuchukua sheria mkononi

Kuhubiri mauaji kwa jina la dini ni kosa la Kiislamu, la kiutu, na la kisheria.

Ushauri kwenu kama ndugu zangu waislam:

Usifuate maneno ya mtu anayechochea damu.

Fuata Qur’an na Sunnah, sio hasira za watu.

Muislamu anajulikana kwa akili, hekima, na upole, sio kwa panga.

Tuombe.
,🤲🤲ALLAH wewe ulie muweza wa yote na mjuzi wa mambo yote uliekuwepo kabla hata baada ya sisi wanadamu wewe ndie mlezi wetu, tuzama dini yako inavyokwenda na watuwako tunavyokwenda tupe hekma sisi na familia zetu wape hekma viongozi wa dini zetu tupe amani na upendo kwa baraka zako na kudrazako kwani tupo mbelezako wewe uliemuweza linda na kutupa baraka ndani ya majumba yetu na rizkizetu tuepushe na machafuko, kwapamoja tuseme (aamin).
 
Wale ni wahuni tu waliovalia Kanzu na vibarakhashia.

WAPUUZWE!

InaumaSana/ItHasAForkVery
Uko sahihi wale ni wahuni kwa mtizamo wako ya kwamba
Kwako wewe masheikh ni wale wenye kufata kile Tec inataka.
 
Mnapo leta uzi muwe makini la sivyo uzi unapoteza logic kama huu 🙄🙄🙄 na kupoteza nguvu yako bure ya kuandika mambo mengi kwa kujichosha ..

Mashehe ubwabwa majini wana njaa balaa lakini wamepata fundisho baada ya TEC kuwapuuza
 
Mpaka sasa vijana waliokamatwa na Polisiccm wakapigwa sana wapo jela hawajaachiwa licha ya Amri ya mkoloni kaburu mama iddy Amin kusema waachiwe mara moja, hao mashehe ubwabwa hawalioni hilo wapo busy na kuwajibu TEC ambao hawajawahi kuwalenda waislam binafsi, wao hulenga Serikali tu si vinginevyo
 
Uko sahihi wale ni wahuni kwa mtizamo wako ya kwamba
Kwako wewe masheikh ni wale wenye kufata kile Tec inataka.
Unapo kuwa muumini wa sheikh anaye ona swala la kuteka na kuua raia ni jambo la kawaida na wala sio la kulisemea popote basi kwa hakika na wewe ni mgonjwa wa kila kitu na ni mpuuzi kabisa
 
Wale ni wahuni tu waliovalia Kanzu na vibarakhashia.

WAPUUZWE!

InaumaSana/ItHasAForkVery
Hao si wa kupuuzwa ni wa kukamatwa na kupelekwa mahakamani. Lini kwakuwa wanaotakiwa kutekeleza hilo ni wahuni wenzao, hivyo hawatofanywa lolote.
 
Wale ni wahuni tu waliovalia Kanzu na vibarakhashia.

WAPUUZWE!

InaumaSana/ItHasAForkVery
FB_IMG_1763710276594.jpg
 
Unapo kuwa muumini wa sheikh anaye ona swala la kuteka na kuua raia ni jambo la kawaida na wala sio la kulisemea popote basi kwa hakika na wewe ni mgonjwa wa kila kitu na ni mpuuzi kabisa
Ngoja nikupuuze ili mwenyewe ujijue uko tabaka gani
 
Back
Top Bottom