Mashed Potatoes

YETOOO

Member
Nov 25, 2011
83
37
Wadau walio wataalamu wa kupika mashed potatoes naombeni mtuwekee mahitaji yake hapa na jinsi ya kupika chakula hicho.Natanguliza shukrani zangu za dhati maana napenda sana hicho chakula ila nikipika mimi nahisi kama nakabwa.Nyie wenye maujuzi pliiiiiz okoeni jahazi.
 
Wadau walio wataalamu wa kupika mashed potatoes naombeni mtuwekee mahitaji yake hapa na jinsi ya kupika chakula hicho.Natanguliza shukrani zangu za dhati maana napenda sana hicho chakula ila nikipika mimi nahisi kama nakabwa.Lizzy na wengineo wengi wenye maujuzi pliiiiiz okoeni jahazi.

Nami nakuunga mkono kwa ombi hili.
 
Nashauri JF kuwa na jukwaa la vyakula na mapishi kwa ajili ya afya zetu. We need to eat health now otherwise pressure na visukari vitatumaliza.
 
Kupika viazi ya kuponda
Hatua: Menya viazi vyako, kisha vioshe na kuviweka jikoni. Ongeza maji safi, na katakata kitunguu maji na uweke ndani ya viazi. Ongeza chumvi kidogo na pilipili manga kidogo kupata ladha flani tamu. Hakikisha kuvigeuza ili viweze kuiva kwa urahisi. Vikishaiva, epua sufuria na mwaga maji, kisha chukua mwiko na kuanza kuviponda. Ongeza maziwa, siagi a.k.a blueband na butter kisha endelea kuviponda. Endelea kuongeza maziwa, siagi na butter mpaka utakapoona viazi vimelainika vya kutosha. Tayarisha mash potatoes yako kwa kuliwa

DSC02605.JPG

Dedix to BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:

asante Young Master, naweza kuweka vionjo kidogo? Spice kama vitunguu swaumu na majani ya korianda ?

sweetlady umeona desa hili?
 
Last edited by a moderator:
Kupika viazi ya kuponda
Hatua: Menya viazi vyako, kisha vioshe na kuviweka jikoni. Ongeza maji safi, na katakata kitunguu maji na uweke ndani ya viazi. Ongeza chumvi kidogo na pilipili manga kidogo kupata ladha flani tamu. Hakikisha kuvigeuza ili viweze kuiva kwa urahisi. Vikishaiva, epua sufuria na mwaga maji, kisha chukua mwiko na kuanza kuviponda. Ongeza maziwa, siagi a.k.a blueband na butter kisha endelea kuviponda. Endelea kuongeza maziwa, siagi na butter mpaka utakapoona viazi vimelainika vya kutosha. Tayarisha mash potatoes yako kwa kuliwa

DSC02605.JPG

Dedix to BADILI TABIA

Hichi chakula sijawahi kukipenda kwa ujumla kwangu nakiona ni kibaya nilishakila twice pale The Chef Pride first nilitamani kwani kuna mshikaji alikuwa anatuambia ugali wa kizungu unapikwa kwa viazi so kwa jinsi tulivyokuwa tunapenda viazi na haswa utamu wa Chips dah nikajua huo ugali utakuwa poa sasa ile kuja kuula nikajichokea yaani kama ndoto iliyokufa na 2nd time hapo hapo The Chef pride nilikula vijiko viwili tu kikanishinda
 
Back
Top Bottom