Kuhoji uhalali wa bei ya kitu si kutokuwa na pesa, bei ya kitu inapaswa kulingana na vitu vya aina yake katika soko, ni ujinga kununua kilo ya unga wa mahindi kwa 5000 kwenye duka la vyakula wakati inaeleweka kuwa unga huo unauzwa kote kwa bei isiyozidi sh. 1500.
Kingine ni kuwa bei ya kitu inapaswa kulingana na ubora wake na si kuuziwa kitu cha ubora wa kawaida au wa chini kwa bei kubwa kisa eti una hela ya kulipa. Hii inaexclude exceptional cases kama pale bidhaa inapokuwa inauzwa katika eneo ambalo muuzaji analipia pango kubwa kupita kiasi kitu kinachomlazimu kufidia gharama kwa kupandisha bei ya bidhaa zake kidogo tofauti na zile zinazouzwa maeneo mengine.
Kingine ni kuwa 700,000 inaweza kuwa hela nyingi sana kwako lakini ni hela ya kawaida sana ila kuitoa kwenda kumwangalia Kansiime ni maamuzi binafsi kwani si wote wanaovutiwa na shoo za mtu kama yeye ambae kwako anaweza kuwa mtu wa ajabu sana. Karibu
U have nailed it ....n'dai like mkuu Swordfisher
Mkuu hizo za 18-20 zinapatikana wapi? Nazihitaji
wizi mtupu,
hizo tshirt ni sh 7000 bei ya jumla,
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio maana kuna Samsung Galaxy S5 ya Million 1.4 na CLONE ya S5 kwa laki 2. Ila zote ni S5.
kama hamna pesa mnyamaze msitukane biashara za watu hii ni biashara huria.Nyie ndio mtaweza kununua ticket ya kumuona Kansiime laki 7 kwa meza!!
mtoa mada/mleta tangazo usikate tamaa wenye pesa watakupm.
ulinganifu wako hauna maana, hizo matisheti zote ni ni yaleyale tu wamenunua matisheti kwa mchina wakanunua na mackenzi toka kongo wanashona kwa cherehani, sema mmoja wao yuko greedy! yapo mashati mazuri hata laki nne unalipa, siyo hiyo mitisheti!
Ume judge baada ya kuona sample. Una force wawe wamenunua T-shirt kwa mchina, au umeziona LIVE hizo kitu?
Hebu chagua moja hapo nikununulie my friend
Me n You, WE NEED TO TALK
Ume judge baada ya kuona sample. Una force wawe wamenunua T-shirt kwa mchina, au umeziona LIVE hizo kitu?