Mashati Maarufu ya Mzee Warioba

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nimemfuatilia sana huyu mzee nadhani mashati yake yote ya mitoko mashuhuro hayafiki manne na haya mawili ndiyo huyapenda sana
images.jpg
download.jpg

images.jpg
 
Unaweza kuta anayo mengi ila yote ni ya aina hiyo tu.
na kweli labda ila ukumbuke hata marehemu sokoine alikutwa na suti mbili ama nne kama sikosei hawa ni aina ya viongozi wa kaliba ya Nyerere
 
Sokoine sio suti
suruali tu nasikia zilikuwa nne
suti sijui zilikuwa ngapi...

Wanasahau vitu ambavyo kwao ni vidogo kuviwaza

Workaholic ndivyo walivyo

Tafuta picha ya Magufuli akipiga kura na siku ile anasafisha mji
shati ni lile lile......bila mkewe kumnunulia mashati kwa nguvu ...watu type hizi huwa hawakumbuki kabisa
 
nak

nakubaliana na wewe cha umuhimu maji yetu ya Ilala
 
Sokoine sio suti
suruali tu nasikia zilikuwa nne
suti sijui zilikuwa ngapi...

Wanasahau vitu ambavyo kwao ni vidogo kuviwaza

Workaholic ndivyo walivyo

Tafuta picha ya Magufuli akipiga kura na siku ile anasafisha mji
shati ni lile lile......bila mkewe kumnunulia mashati kwa nguvu ...watu type hizi huwa hawakumbuki kabisa
Magufuli brazamenn yule. Usimlinganishe na wagumu
 
Back
Top Bottom